Pages

Thursday, April 16, 2015

Mwanamuziki wa gospel nchini Christina Shusho amesema anamkubali mwanamuziki mwenzie Rose Mhando


Nyota wa muziki wa Injili hapa Tanzania, Christina Shusho amemwagia sifa msanii mwenzake, Rose Mhando kutokana na uwezo mkubwa katika kipindi hiki ambacho aina ya maonesho anayofanya yamekuwa yakizua mitazamo tofauti kwa mashabiki.
Katika mahojiano, Shusho ambaye hivi sasa yupo jijini Nairobi nchini Kenya amesema kuwa Rose ni msanii wa kipekee na mbunifu, tofauti na wengi wanavyomtafsiri.
EATV

No comments:

Post a Comment