Pages

Friday, April 10, 2015

Mabasi Ubungo Yagoma Asubuhi Hii....Abiria Wapata Taabu

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa umati mkubwa wa abiria wameanza kupata taabu ya usafiri baada ya baadhi ya mabasi kuanza mgomo baridi.

Mgomo huo umeanza muda huu katika kituo cha mabasi cha Ubungo, hata hivyo baadhi ya mabasi yaliyokuwa yakielekea safari zake nje ya nchi ya Tanzania na baadhi yao yalibahatika kuanza safari yakitokea katika kituo hicho kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani..

Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia hivi punde!!!
Chanzo: Dewji Blog

No comments:

Post a Comment