Pages

Wednesday, April 22, 2015

PICHA: Watuhumiwa wa ujambazi waliompora mzungu Kinondoni jana


Watuhumiwa wa ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya ulinzi baada ya kutiwa mbaroni kwenye taa za kuongozea magari zilizopo Red Cross jijini dar es Salaam jana wakidaiwa kumvamia na kumpora raia wa kigeni eneo la kinondoni.

No comments:

Post a Comment