Pages

Tuesday, April 21, 2015

Picha ya huyu mama aliyekaa juu ya toilet seat huku akimnyonyesha mtoto imezua mjadala

Hii picha imesambaa mitandaoni ambapo wapo waliomsifu huyu mama na wapo waliomponda kuwa utanyonyeshaje mtoto huku una deshideshi..Sorry kama ndio unakunywa chai..

No comments:

Post a Comment