Pages

Tuesday, April 21, 2015

Wewe unayeiba mume wa mtu, ujumbe huu toka kwa le Mutuz unakuhusu..

lemutuz_nationLE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- Morning ni FACT of life kwamba kwa Mamen wa Tanzania ni lazima kuwa na Mchepukozz it is WRONG ni DHAMBI tena mbaya sana mbele ya Mungu infact sisi Wakristo Mungu anasema at Biblia kua ni moja ya Dhambi ngumu kuisamehe kwake ndio maana miaka yangu ya Ndoa 15 sikuwahi KUCHEAT HATA SIKU MOJA my exWife ni shahidi yangu namba moja Narudia I NEVER na hata leo nikiamua kuoa tena SIWEZI KUCHEAT never....now Rais Mitterrand wa France alikuwa na Mchepuko na watoto wengi kwa Miaka zaidi ya 40 Imagine Rais wa Taifa kubwa kama France ilikuja kujulikana baada ya kuzikwa...now nyinyi Michepuko wa
.Bongo kwa.nini hamuwezi kunyamaza mazafantazzz ikawa siri yenu tu mpaka gademu Instagram nzima tujue kuwa wewe ni Mchepukoz wa gademu Tajiri fulani mbona Mamen akiwa wa.kawaida au Le Mariozzz hampigi gademu keelezz? ....I mean for God's Sake ni Mume wa Mtu hata kama hawalali chumba kimoja ni Mume wake wewe ni mwizi na honestly wewe ni mburulazzzz .

cause unakuja Instagram kulingishia Mume wa Mtu ni FOOLISH ...Ukiona bifu la wadada wa mjini ujue wanagombea Mume wa Mtu bila hata ya Aibu jamani mrudieni Mungu wenu...Mungu anasema Mshahara wa Dhambi ni Mauti na malipo ni hapa hapa Duniani I mean what went wrong na this Society?....Imagine Nuhu na Shilole ndio mfano peke yake tulionao Tanzania wa watu maarufu wasio na michepukozz hili Taifa tumerogwa na nani? Hawa watu waliojaa Michepukoz wataendeshaje Taifa na.Mungu anasema

Ukichepuka Ubongo wako unakuwa umekufa dead mazafantaz? ...jamani michepuko is wrong mkiifanya Waheshimuni wake zao wacheni mambo ya kulingishia mume wa Mtu Instagram it is wrong mtaishia KUAIBIKA maana ndivyo Mungu alivyosema mwisho ni AIBUZZZ! JAMANI ASUBUHI NJEMAZZZ! - le Mutuz

No comments:

Post a Comment