Pages

Friday, April 10, 2015

Vyoo Vingi vya Public Kumekuwa na Alama za Kuonyesha cha Wanawake na cha Wanaume, Badala ya Maneno...Kuna Yeyote Anadhani hizi Alama zina Udhalilishaji Wowote wa Kijinsia?

Mjadala umezuka huko twitter na mwanadada Claudia toka Australia, ambapo yeye ameona kuwa
hizi alama za kuonyesha choo cha kike na cha kiume zinadhalilisha, badala yake ni bora kuandika tu kwa maneno..wewe je unaonaje?These signs were spotted in Argentina by eagle-eyed Twitter user Claudia Villapun.


No comments:

Post a Comment