Pages

Monday, May 4, 2015

Interesting......This caught my eye just kwa sababu na mimi nafua nguo..

Ni kwamba ni hivii: Huyu kaka anaitwa Brody Jenner ambaye ni mtoto wa Bruce Jenner (yule mbabu aliyesema "I am a  woman") ameenda kumchukulia mdada anaitwa Kaitlynn gauni lake drycleaning. 

Sasa paparazzi wakamuona amebeba gauni wakamtwanga picha, waandishi wakaenda kuandika habari na kichwa cha habari kuwa Je, Brody Jenner anamnunulia dad yake gauni?

Kwa hivyo imenichekesha jinsi ambavyo jambo limegeuzwa kiaina...na hii yote naona ni kwa ajili amebeba hili nguo vibaya. Kusema kweli gauni limetoka kufuliwa na kunyooshwa halibebwi hivi kama kifurushi. Siku ukimtuma mwanaume akachukue nguo drycleaning ujue ndio hasara utakayoipata kwa ubebaji huu nguo inaweza kufika nyumbani ukaanza kunyoosha tena.

Baada ya Brody kusoma hiyo habari ndio akaenda instagram akamwandikia aliyemwagiza hivi:

😂😂😂😂😂😂 this shit is too funny. @kaitlynn_carter look what happens when you make me pick up your dry cleaning!! 

No comments:

Post a Comment