Pages

Wednesday, May 13, 2015

Kama namiliki bastola ama laa ni siri yangu - WEMA SEPETU


MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amedai kwamba itabaki kuwa siri yake kama ni kweli anamiliki bastola ama la kwa kuwa si sifa kutangaza umiliki wa silaha.

“Hii ni siri yangu kama namiliki bastola au la, lakini mimi sioni ajabu kumiliki bastola, mtu kama mimi mwenye maadui wengi inasaidia katika ulinzi wa maisha yangu,” alieleza Wema.

Wema aliendelea kuwataka wanaojiuliza kama anamiliki bastola ama la waendelee na mambo yao mengine kwa kuwa hawatajua jambo hilo ambalo ni siri katika kuimarisha ulinzi wake.

MTANZANIA

No comments:

Post a Comment