Pages

Tuesday, May 12, 2015

Kuhusu Uanamitindo Flaviana Matata anakuambia hivii...

flavianamatataJe wewe ni mwanamitindo na ungependa kupata ushauri wa namna ya kujiendeleza hadi kuwa mwanamitindo mwenye mafanikio? PSPF inakupa nafasi ya kukutana na mimi kama Balozi wake Jumapili Mei 17 ili kupata elimu ya namna ya kufaidika na fursa zilizopo katika Mfuko huo wa Pensheni kwa maendeleo katika fani yako. Ili kuweza kushiriki tuma picha na mawasiliano yako kupitia ally@allyrehmtullah.co.tz. Mwisho wa kupokea maombi ni Ijumaa Mei 15. Wahi kwani nafasi ni chache.


No comments:

Post a Comment