Pages

Sunday, May 3, 2015

PICHA: Malkia mpya ni mnono....

Binti mfalme aliyezaliwa jana wa Kate na William
 Inaonekana ni tradition ya hii familia kupiga picha hivi na kichanga mbele ya wasubiriaji mwali akishatoka kujifungua...Ni utamaduni mzuri kuliko
kupita mlango wa nyuma kwa kificho na kuanza kuuza picha ya mtoto baadaye.

Kate ngangari katoka kujifungua siku hiyohiyo na katinga high heels na kwenda zake nyumbani siku hiyohiyo.

No comments:

Post a Comment