Pages

Friday, May 8, 2015

PICHA: Raisi Mstaafu Mwinyi katimiza miaka 90

Mungu kambariki na afya njema kiasi kwamba unaweza usiamini ana miaka 90.
Jana, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatimiza miaka 90.
Chanzo: Vijimambo Blog

No comments:

Post a Comment