Pages

Wednesday, May 13, 2015

Shilole Shishi Baby anataka ujue kwamba...


shilolekiunoHuyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhim wangu kuliko mtu yeyote yupo na mm bega kwa bega ninapokuwa na furaha nahata ninapokuwa majonz mm naweza sema ndo mwanaume wa maisha yangu naomba Mungu asije badilika nitaumia sana.Nampenda sana huyu mtu nyinyi mnamuta nuh mm namuita Jackson

No comments:

Post a Comment