Endapo utakuwa unahitaji kununua coffee table nakushauri nunua yenye sehemu ya kuhifadhia kwa chini. Kwenye hifadhi hiyo unaweza weka magazeti ya siku ambayo hayajasomwa na vitu vidogodogo kama rimoti. Ni nzuri kwa matumizi ya nafasi kwani vinginevyo eneo la chini lingekaa wazi bure.
No comments:
Post a Comment