Pages

Tuesday, June 2, 2015

Unajua sio kila mgeni anahitajika kufikia ndani?

Endapo utakuwa na eneo la kukaa kwenye bustani bila shaka baadhi ya wageni wako wataishia hapo na kukaa huku mkijiburudisha kwa hewa fresh bila haja ya kuanza kusema karibu ndani.

No comments:

Post a Comment