Pages

Wednesday, June 3, 2015

KIPI KIPYA? Masinki yenye droo za kuhifadhia kwa chini..

Bila shaka utakubaliana na mimi kuwa nyumba za kisasa zilizojengwa na Watanzania miaka 10 iliyopita na kurudi nyuma masinki ya bafuni yaliyokuwepo ni yale yenye nguzo moja. Sasa kuna hizi sinki mpya zenye droo chini.
.uzunguni wanaita medicine cabinets..Ni mazuri kwa ajili badala ya sehemu ya chini ya sinki kubaki bila shughuli ni afadhali kuwa na droo hizi ambapo unaweza tumia kuhifadhia vingi.

No comments:

Post a Comment