Pages

Wednesday, June 3, 2015

VITU VIZURI....Zile enzi za kuweka kioo cha kwenye sinki cha kujitazama pekee zinaishia

Nimekipenda hiki kioo na natumai nawe msomaji wa VMB utakipenda. Vitu vizuri vinazidi kuja, wakati miaka ya nyuma wenye nyumba wengi walipachika kioo na wachache kukiongezea fremu zinaishia. Vioo vya kisasa vya kwenye sinki vinakuja na housing lake kama hivi kwenye picha ambapo kuna partitions kadhaa za kuhifadhia. Kumbuka kuwa nyumba inavyokuwa na sehemu nyingi za kuhifadhia ndivyo inavyozidi kuonekana nadhifu.

No comments:

Post a Comment