Pages

Wednesday, October 14, 2015

Mapambo tofauti na maua ambayo unaweza kuweka katikati ya meza

Picha hizi ni kwa ajili ya kukupa mawazo tofauti ya mapambo unayoweza kupambia katikati ya meza yako mbali na maua. Karibu twende pamoja...
Bakuli la mtunda yasiyokuwa halisi

Bakuli mkubwa tupu 
Kisanamu kama hiki cha mnyama twiga. Kwa picha zaidi zama

Mshumaa ulio ndani ya glasi ili hata ukiuwasha usidondokee mezani na uchafu unajificha kwenye glasi
Huu mwekundu ni unga ulio kama mchanga
Glass yenye mirija

No comments:

Post a Comment