Pages

Tuesday, December 1, 2015

HOME DECOR HAPA NA PALE....CARPET, MTI WA KRISMASI, OVEN

 Kati ya sakafu zote, sakafu ya carpet ndio rafiki mzuri zaidi kwa nyayo zako. Pale nyayo zinapokanyaga muda mrefu paweke carpet.
Hivi ulishagundua kuwa miti mingi ya krismasi kule kileleni inaishia na nyota? December hiyoo imepiga hodi leo. Mti wako uko tayari?
Kuna wenzangu na mie jiko linachakaa lakini oven haijawahi kutumika. Ni mara ngapi kwa wiki unatumia oven yako? Hili ni toleo jipya la oven za kwenye drawer..

Nitumie picha za decorations zinazoendelea nyumbani kwako ili tuelimishe na wengine...





No comments:

Post a Comment