Pages

Friday, January 1, 2016

HERI YA MWAKA MPYA 2016


Msomaji wangu hongera kwa kuuona mwaka mpya 2016. Katika mwaka huu nakutakia haya mambo 10 yafuatayo:

1. Bahati Nzuri
2. Afya Nzuri
3. Mafanikio
4. Mapenzi
5. Furaha
6. Amani
7. Utajiri wa Pesa
8. Urafiki
9. Uthubutu
10. Maono


No comments:

Post a Comment