Pages

Tuesday, January 5, 2016

HOME DECOR HAPA NA PALE....MLANGO WA MKONGO, TAA, UFUNGUO WA SANTA

Milango imara ya panel ya mkongo inayotengenezwa na Jamaawoodworks..size futi 3 kwa cm 215 bei sh 450,000. Mlango wa mbao ngumu unadumu maisha na kama Mungu amekupa uzao unawarithisha hadi wajukuu..

Sahau haya mandhari ya uzunguni ila lengo langu ni kuonyesha ubunifu wa kuweka taa. Chumba ni taa na unaweza kuwa nazo za mezani, za ukutani, za kuchimbia kwenye dari na za kuning'inia kwenye dari vilevile. Ukiwasha shwich hii inawashe zile na ukiwasha ile inawasha hizi... maisha yanakuwa raha mustarehe

Ufunguo wa santa huu unarudishwa kabatini hadi December tena. Bai bai santa

No comments:

Post a Comment