Pages

Monday, January 18, 2016

MITO YA SAKAFUNI INAKUFANYA UKAE KWA KU RELAX ZAIDI



Hey rafiki,  kuwa na mito mikubwa ya sakafuni hapo sebuleni kwako kunakupa option ya kukaa chini pale ambapo hujisikii kukaa kwenye sofa. Mito ya sakafuni ilianzia kwenye tamaduni za watu fulani hasa wenye asili ya Kiarabu na sasa imeenea kwenye sebule nyingi.

 Na zaidi ya hapo hata ile kuitupia chini tu ni decoration tosha, endapo unahitaji mto wowote wa umbo lolote na wa ukubwa wowote tafadhali nijulishe. Piga/whatsapp 0755 200023

No comments:

Post a Comment