Pages

Monday, January 11, 2016

PICHA MBALIMBALI ZA HOLDER ZA TOILET PAPER

Wanasema tembea uone..kutana na holder mbalimbali za toilet paper
Ukiingia kwenye bafu hili usiku na si mwenyeji unaweza kutimua mbio.

Hii watoto wataipenda..hata wale wa kujikojolea basi bafuni kwao kutakuwa burdaani kabisa.
Bafu la kiumeni...ha hahaaa
Askari twende kazi yuko standby kukuhudumia kwa toilet paper..

Nishirikishe kwenye finishing ya nyumba yako. Ushauri mara zote ni mzuri..

No comments:

Post a Comment