Pages

Sunday, January 10, 2016

PICHA: UBUNIFU WA KUTUMIA MATAIRI CHAKAVU NDANI YA NYUMBA

Haya tena mdau wangu kama ulidhania ubunifu wa matairi ni kwa bustanini tuu basi jionee mambo kwenye picha hizi:
Hii ni sehemu ya dining room iliyojengwa na Ujenzi Bulkbuilders ambapo sinki ni matairi. Upo hapo!...kama utani vile lakini kweli.
Hapa matairi yamegeuka coffee table

Nawe msomaji wangu nirushie picha za ubunifu wako kwenye mapambo ya nyumba na bustani..

No comments:

Post a Comment