Pages

Thursday, January 21, 2016

PICHA ZAIDI ZA RANGI ZA CONMIX KWA AJILI YA UKUTA WA NJE YA NYUMBA

Rangi za conmix ziko kwenye shades tofautitofauti kama rangi nyingine. Kwa mfano huu hapa conmix ya nguzo ni bold zaidi ya ya ukutani.
Fundi rangi ras Jackson yuko super talented kwa kurembesha ukuta.
Usijeukadhani ooh hizo ni za wenye maghorofa tu...hapana. hata nyumba ya chini muhimu ipendeze. Penda unapoishi haijalishi...
Hii  nayo ni shade nyingine lakini jamii ile ile ya conmix

 Je, wewe msomaji wangu umepaka rangi gani nje ya nyumba yako? Nitumie picha...ukishea ujuzi unajisikia vizuri.

No comments:

Post a Comment