Pages

Wednesday, January 20, 2016

PICHA:...Mitindo Simple ya Madirisha ya Grill

Simple lakini ya uhakika.
Inakuwa rahisi kupenyeza mkono kirahisi wakati wa kusafisha kioo.
Pamoja na urembo, lengo kuu ni kumchelewesha mwizi!
Grill simple ni rahisi kufuta vumbi vyuma vyake.

Msomaji nipe mrejesho unayaonaje madirisha haya..

No comments:

Post a Comment