Pages

Friday, January 8, 2016

VML:...Donuts za gold, Green tea, Nyama choma na parachichi

Shangaa ya dunia donuts zilizopakwa dhahabu. Ni ajabu watu wanakula "gold donuts" wakati wengine wanakufa njaa. Mimi ningeziacha kwa mapambo...sijui zingeoza! photo credit: todayshow
Sikukuu zimeisha ni wakati wa green tea kusafisha mwili. Harufu ikinishinda huwa napikia na mchaichai
Nimependa huu msosi kwani wengi wakila nyama choma hawahusishi na matunda. photo cerdit: ig ya  missytemeke 

Niambie leo unakula nini lunch..

No comments:

Post a Comment