Pages

Wednesday, February 10, 2016

HOME DECOR HAPA NA PALE: PATA IDEAS ZA MAPAMBO YA VYUMBA VYA WATOTO

Awesome...kwa mvulana...michoro ukutani inamfundisha mtoto aina mbalimbali za usafiri kama hapo treni, ndege, puto la hewa (balloon ride) kama mbugani etc
Kona ya kujisomea na mahali pa kuhifadhi vitabu vya ukutani hapo. Kuandika ukutani ruksa no kelele ya mama
Eneo la digitali na hapohapo kuna droo na kabati za storage. Chumba kisiwe na mrundikano
Chumba kama hiki hapana shaka binti yako atafurahi sana..



No comments:

Post a Comment