Pages

Tuesday, February 9, 2016

VMC: FAIDA ZA KITAMBAA CHA MEZA

Kitambaa cha meza kinasaidia kutunza layer ya juu ya meza iepukane na mikwaruzo ya vyombo na madoa ya michuzi na vinywaji. Kitambaa hicho kinapokuwa cha jamii ya mpira kinafaa zaidi kwani haking'ang'anii madoa ya vyakula kama ambavyo cha malighafi nyingine kama vile pamba kingefanya. 

Kitambaa cha meza mita 2 cha polista sasa kinapatikana. Kipo cha rangi ya bluu la anga, damu ya mzee, nyeupe na dhahabu.Bei ni elfu 30. Kama unahitaji tukutane "wasap" 0755 2000 23. Asante

No comments:

Post a Comment