Pages

Wednesday, June 29, 2016

Vinavyouzwa: Vyombo na Vesi za maua

Serving bowl na vikombe vya supu/mtori...vyote elfu 75

Glass za rangi 6 zote elfu 45

Jagi la kioo na glass za kioo nzuri imara. Vyote elfu 50

Sugar pot elfu 25

Sahani kubwa za chakula 6 elfu 60

Visahani/bakuli vya kuwekea sauce/matunda etc..seti ina 6 bei 45,000

Visahani/bakuli vya kuwekea sauce/matunda etc..seti ina 6 bei 45,000

Vesi ndogo za maua @ 25,000

Vesi ndogo za maua @ 25,000

Vesi ndogo za maua @ 25,000

Vesi ndogo za maua @ 25,000

Tuesday, June 28, 2016

Mifumo ya kuweka mpangilio ili kurahisisha maisha ndani ya nyumba

Mpangilio ndani ya nyumba unagusa vitu na maeneo mengi. Unapokuwa na mifumo ambayo umejiwekea bila shaka itakusaidia kuwa na nyumba nadhifu, safi yenye mpangilio na hivyo kurahisisha maisha. Katika makala hii tunaangalia vitu na maeneo mbalimbali nyumbani yanayohitaji kuwa na mpangilio na jinsi ya kuwa na mfumo wa kukuwezesha kufanikisha azma hiyo.

Karatasi
Mbali na karatasi za bili zinazoingia nyumbani ambazo kwa kawaida ni chache, sijui kama kuna nyumba inayoingia karatasi nyingi kama nyumba yenye watoto wa

Monday, June 27, 2016

Zijue faida na changamoto za paa la zege

Teknlojia inawapa fursa zaidi wanaojenga kuchagua aina ya paa wanalotaka kuezekea nyumba zao. Mhandisi David Sembuyagi anatujuza faida na changamoto za paa la zege.

Ingawa paa la zege linaweza kuwekwa kwa mitindo mbalimbali, kwenye makala haya tutaangalia paa la zege lililo flati.

Paa la zege ni mchanganyiko wa saruji, mchanga, kokoto na

Friday, June 24, 2016

PAZIA NZURI SASA ZINAPATIKANA

Hey wapenzi, pazia nzuri sana zinapatikana. Zipo za velvet na zisizo na  velvet. Huwa hazikawii kuisha kama unahitaji toa oda yako mapema. 





Thursday, June 23, 2016

Kwa chumba kisichotosha kuwa na kabati la nguo, fanya haya kuhifadhi nguo zako


Wengi walishayapitia au wanayapitia haya! Unapanga nyumba au chumba unakuta nafasi ni ndogo sana unaumiza kichwa kufikiria utahifadhije nguo zako maana ukiweka kitanda tu nafasi imeisha huna pa kuweka kabati la nguo.  Lakini maisha yanaendelea hayasimami na kwa maana hiyo  nguo pia lazima zihifadhiwe na kutolewa ili  zivaliwe.  Usife moyo! Kuna namna ya

Tuesday, June 21, 2016

TUNAWEKA PICHA KWENYE SAA ZA UKUTANI

Hey wapenzi, je una picha unataka kuwekewa kwenye saa ya ukutani kama hivi? Ni wazo zuri pia kwa zawadi. Gharama utatozwa ya saa na kuwekewa picha. Welcome 0755 200023
Mteja wangu kachagua saa hii

Unanitumia picha unayotaka kuwekewa

Saa na picha vimekamilika


Unachagua saa unayopenda ninazo aina tofauti tofauti.

Dondoo muhimu wakati unapotaka kununua zulia

Hakuna sakafu ambayo ni laini na yenye hisia za kifahari kama ya zulia. Ndio maana ni utamaduni wa dunia nzima kwa watu mashuhuri kutembea juu ya zulia wakati wa dhifa mbalimbali za kitaifa na kimataifa.

Zulia ni sakafu yenye usalama zaidi kwa michezo ya watoto na hata

Monday, June 20, 2016

Unajiuliza uweke TV yako juu ya kabati lake au uipachike ukutani? Jibu hili hapa..



Fahamu faida na changamoto za maeneo mawili ya kuweka luninga

Uko kwenye mchakato wa kuweka luninga na unafikiria uiweke juu ya kabati la luninga au uisimike ukutani? Kuna mengi ya kujua kwenye kuchagua haya maeneo mawili kabla hujafanya uamuzi wa mwisho.

Unapoamua kama

Friday, June 17, 2016

Unavyoweza kupendezesha nyumba kwa fenicha nyeupe



Hebu fikiria muonekano wa ndani ya nyumba yako utakuwaje pale unapoamua kupendezesha maeneo ya wazi kwa fenicha nyeupe. Maeneo ya wazi ndani ya nyumba ni yale ambayo mtu yeyote awe ni mgeni au mwenyeji anaweza kwenda. Maeneo hayo ni sebuleni, jikoni na chooni.

Wengi wanapenda kubadili mionekano ya ndani ya

Wednesday, June 15, 2016

Vinavyouzwa....

Foronya za kupambia kitanda. Hizo zenye katuni unapambia kitanda cha mtoto. 

Net za wachanga za bluu na pink. Ni idea nzuri pia kwa zawadi.

Shuka size 8 by 8 pure cotton (sio polycotton). Unapata shuka 2 na foronya 4

Shuka za watoto. Pure cotton size 5 kwa 6. Unapata shuka 2 na foronya 4

Mawasiliano 0755 200023

Nani alijua matumizi mengine ya microwave?

Wengi wetu tunatumia kipasha chakula (microwave) kwa ajili ya kupasha chakula, lakini je unajua kuna kazi nyingi unazoweza kufanyia ndani ya microwave zaidi ya huu ulimwengu wa kupasha chakula tu? Nimetafiti kazi mbalimbali zinazoweza kufanyika ndani ya microwave na hakika zitakurahisishia maisha yako! Hata hivyo tukumbuke kuwa

Monday, June 13, 2016

Dondoo 4 za uoteshaji maua ndani ya nyumba



Kuna kitu cha kipekee kuhusu bustani, maua  - mchakato wa kuotesha vitu hai kwa ajili ya kufurahisha nafsi na vilevile kuongeza mvuto wa ndani ya nyumba kwa ujumla wake.  Kama wewe ni mmojawapo ambaye bustani inakuhuisha nafsi kiasi kwamba ungetamani kuwa nayo hata ndani kama ilivyo nje basi makala hii ni kwa ajili yako. Ili

Saturday, June 11, 2016

Wallpaper, gundi na fundi vipo karibuni.





Hizi design tofauti za wallpaper zipo ili upendezeshe nyumba yako. Karibu, kununua click hapo juu kwenye VINAVYOUZWA

Vyandarua Vipo

Neti hizi ni free size zinatosha kitanda cha ukubwa wowote

Zinafaa pia kwa double decker


Kununua click hapo juu kwenye VINAVYOUZWA

Thursday, June 9, 2016

Alama za onyo kwenye vifaa vya umeme vya nyumbani

 
Unavyoishi maisha ya kila siku hapo nyumbani, unategemea vifaa vya umeme vilivyopo zaidi ya hata unayoweza kudhania. Pale tu kifaa kinapoharibika ndipo unaanza kuona umuhimu wake. Nyumba nyingi za kisasa ni kawaida kukuta vifaa vya

Monday, June 6, 2016

Njia sita za kuifanya nyumba iwe nyumbani

Msemo kuwa nyumbani ndipo moyo ulipo una ukweli usiopingika. Nyumbani ni mkusanyiko wa maisha, kumbukumbu na upendo. Kama unatafuta njia za kufanya nyumba yako iwe nyumbani, kuna vitu virahisi na

Saturday, June 4, 2016

VIKOMBE..



Vikombe vya chai na visosi vyake. Kuona bei bonyeza kwenye vinavyouzwa.

MAPAMBO MADOGO MADOGO


Vitenga vinavyokuwezesha kuweka mpangilio kwenye dressing table yako

Baiskeli ya mapambo kwa kuwekea maua
Mawe ya rangi



Pot ndogo za maua

Saa za ukutani

Kujua bei click hapo juu kwenye VINAVYOUZWA na kununua njoo
0755 200023