Wednesday, November 30, 2016

CHANZO CHA GHARAMA KUBWA ZA UPIMAJI ARDHI NA SULUHISHO LAKE.

Na Surveyor James aloyce
-Kumekua na malalamiko makubwa sana toka kwa wananchi juu ya gharama kubwa za malipo kwenye upimaji ardhi.

Leo ningependa mfahamu nini chanzo cha gharama hizo 

1. Zoezi la upimaji linashirikisha viongozi wengi katika serikali wa ngazi mbalimbali  huku kila mmoja akiwa na umuhimu wake na lengo likiwa ni

Monday, November 28, 2016

Njia 4 za kutayarisha nyumba yako kwa ajili ya sikukuu

Sikukuu za mwisho wa mwaka  na hatimaye mwaka mpya zinakaribia, na bila shaka wengi wetu tunajiweka tayari kwa sikukuu hizo.
Kuanzia kusafisha nyumba kila mahali toka mwaka uanze hadi kuweka mapambo ya sikukuu ni baadhi ya vitu vichache ambavyo tunafanya kila mwaka kuiweka nyumba tayari kwa sikukuu. Na hasa kama unaalika wageni.

Maandalizi haya yanachosha eeh? Hapana usichoke. Hapa ni njia nne za namna ya kutayarisha nyumba yako kwa ajili ya sikukuu bila nguvu au gharama kubwa hasa kama utaongeza mkono wa ziada kufanikisha zoezi hili.

 1. Fanya usafi wa kina ndani
Kama  ni muda mrefu toka uifanyie nyumba usafi wa kina, ni ukweli kuwa kutakuwa na utando wa vumbi kwenye maeneo kadhaa ya nyumba. Au hata zaidi ya kadhaa, huenda ni maeneo mengi tu, ila habari njema ni kwamba kuna kampuni nyingi zinazojishugulisha na ufanyaji wa usafi wa kina majumbani. Ambapo ni pamoja na kutumia mashine za upepo kusafisha mazulia viti na makochi, kudeki na kufuta vumbi na buibui. Na unajua hizo sehemu ndogo ngumu kufikika kila wakati? Kipindi hiki ndio wakati wake wa kuzifikia na kuzifanyia usafi. Tunazungumzia usafi wa sehemu kama juu ya fremu za milango, nyuma ya tanki la choo, nyuma ya sinki, chini ya makochi na hata kona za madirisha. Kila kona kufikiwa. Bila kusahau kufua kila kitu ambapo ni pamoja na pazia, matandiko, mazulia na kadhalika.

2. Safisha eneo la nje ya nyumba
Kwa uzuri ambao miti inaonekana, tunajua inaweza kusababisha ukoka ulio chini yake usiote vizuri au kuharibu paa kama ipo karibu nalo. Kabla ya kukaribisha sikukuu hakikisha unapruni miti hiyo ambayo huenda imefunga sana. Hii itafanya bustani na eneo la nje ya nyumba kuwa na mvuto. Kuendana na ukubwa na wingi wa miti uliyonayo bila shaka unaweza kumhusisha msaidizi mbali na mtunza bustani uliye naye. Hii ni njia rahisi ya kufanya hiyo kazi kwa haraka ikiwa ni pamoja na kuondoa majani na matawi yote aliyopunguza.
Ambapo kwa utaalam wake atasaidia pia kuondoa yale ya kwenye paa na kwenye mifereji ya maji ya mvua. Kwahivyo pamoja na hili zoezi la kupruni itajumuisha pia kukatia ukoka na maua yote kwa ujumla katika kuandaa nyumba kupokea sikukuu.

3. Paka rangi
Kuendana na hali ya rangi ya kuta za nje na ndani ya nyumba inaweza kukupasa kupaka mkono mmoja au miwili ya rangi. Kumbuka unapamba ndipo unasheherekea.

4. Weka mapambo ya sikukuu

Hapa ndipo wengi wanapopenda! Kutokana na utamaduni wa kila familia zoezi hili linaambatana na kupamba mti wa sikukuu, bila kusahau taa za vimulimuli.

Kujiunga Oriflame ni elfu 9 tu. Huhitaji hela nyingine ya kununua bidhaa na wala hatutembezi bidhaa. Unachopewa ni training na catalogue. Karibu 0755 200023

Saturday, November 26, 2016

Fursa ya Biashara na Oriflame


Sababu 6 za kwanini uchangamkie fursa ya biashara ya Oriflame.

1. Inahusika na bidhaa za urembo na kila mtu mahali popote kuna anayetumia bidhaa hizo hivyo wateja wanakuzunguka.

2. Sio lazima uwe kwenye biashara ya mtandao, unaweza kujipatia kipato kutokana na kuuza bidhaa tu.

3. Unaanza kwa mtaji mdogo wa sh elfu 9 tu!

4. Hutembei na bidhaa bali unawaonyesha wateja catalogue tu!

5. Matokeo ya bidhaa za Oriflame yako wazi kwahivyo haikupi shida kuuza.

6. Kupata fursa ya kusafiri duniani na kupata marafiki kila siku.

Karibu sana, mimi nimezitumia bidhaa za Oriflame na hakika nimekubali matokeo yake. Kuna kila kitu kuanzia cha nywele, ngozi. uso na kucha.

Tuwasiliane 0755 2000 23

Thursday, November 24, 2016

Sabuni na mafuta ya SPA

Seti hii ya SWEDISH SPA ni nzuri sana kwa ngozi na nywele.

Swedish Spa Stimulating Shower Gel ni sabuni nzuri ya maji kwa kuogea, huondoa harara na kukuacha unanukia vizuri. 

Swedish Spa Beauty Wonder Oil ni mafuta mazuri yaliyotengenezwa kwa tangawizi, hutumika kwa massage, hutumika kwenye nywele na ni treatment kwa mwenye nywele kavu.
Pia unaweza kupaka kwenye ngozi kama unavyopaka lotion na pia unaweza kuyatumia kuondoa makeup.

Bei ya sabuni (Shower Gel) ni 13,000 na bei ya mafuta (Beauty Wonder Oil) ni 23,000
Tupo Moroko, mawasiliano 0755 200023

Faida za kutumia ukoka wa bandia kwenye bustani yako

Kwa siku za karibuni ukoka wa kutengeneza (artificial grass) umeanza kugusa mioyo ya baadhi ya Watanzania, anasema muuzaji Saleh Ahmed wa kampuni ya Aqua Décor iliyopo Kijitonyama simu 0712 792 909. Katika makala hii napenda wewe msomaji wangu uelimike kuhusu ukoka huu endapo utavutiwa kuwa nao.

Ni vyema ujue kwamba ni

Monday, November 21, 2016

Feminelle inaondoa harufu mbaya sehemu za siri

Feminelle Soothing Intimate Wash huondoa harufu mbaya maeneo ya siri na kukufanya uwe na usafi wa uhakika siku nzima. Uzuzi wa hii product ni kwamba imethibitishwa chini ya Gynecological Control na kwamba sio sabuni kwahivyo haina madhara ya kuoshea maeneo hayo. 
Bei ni 19,000 tupo Moroko na tunaweza kukuletea ulipo. Kwa mawasiliano piga 0712 613 418

Fremu ya mbao kwa ajili ya kitanda ni chaguo zuri zaidi



Naomba ingia instagram @mtotomagazine u like picha hii hapa chini ili ishinde. Asante sana


Moja kati ya maswali ambayo wengi wanaotaka kununua kitanda wanajiuliza ni kama wanunue cha mbao au cha chuma. Aina zote mbili zina faida na changamoto zake kama ifuatavyo.

Andrew Komba wa kampuni ya Furniture Mart iliyoko Tabata 
simu 0655 974 223 anasema kuwa fremu za mbao kwa ajili ya kitanda ni

Saturday, November 19, 2016

Wazo la kuwa na bustani kavu


Naomba ingia instagram @mtotomagazine u like picha hii hapa chini ili ishinde. Asante sana

Maji ni rasilimali muhimu kitaifa na kimataifa. Wazo la kuwa na bustani kavu ni zuri hasa kwa walio maeneo yenye ukame, wasio na maji ya kutosha kumwagilia, na pia  wenye pilika nyingi. Hawana muda mwingi wa kutumia katika kutunza bustani, ingawa wanapenda iwe na muonekano mzuri. Kama ndivyo basi suluhisho ni

Wednesday, November 16, 2016

Wapenzi, makunyanzi sasa basi!

Hii ni seti murua ya vipodozi asilia vya kuondoa makunyanzi na kuacha ngozi yako iking'aa kwa wenye umri wa kuanzia miaka 35 na kuendelea, angalia hapo juu pameandika 35+. 

Ina kisafishio (cleanser), toner kwa ajili ya kuziba vitundu usoni, eye cream ya kuondoa weusi kuzunguka macho, c
day cream ya kupaka mchana na night cream ya kupaka usiku.

 Ukiwa na seti hii kiukweli sahau makunyanzi. Uzuri unagharimikiwa wapenzi, hauji tuu hivi hivi, na kumbuka unaishi mara moja tu kwahivyo usi practice bali ishi. 

Walau kama hauko kwenye hali ya kuchukua seti nzima basi kwa kuanzia wengi wanapenda kuanzia na cream ya kuzunguka macho pamoja na ya usiku. Hivi viwili vinaanza kukupa matokeo bomba kabisa.

Karibu tupo Moroko laa unaweza kuletewa au kutumiwa ulipo. 
Mawasiliano 0712 61 34 18

Njia za kupamba meza ya chakula

Naomba ingia instagram @mtotomagazine u like picha hii hapa chini ili ishinde. Asante sana 

Tukubaliane kuwa hata kama ni ule wakati ambao meza ya chakula haitumiki sio sawa kujaa madaftari na vitabu vya kazi za shuleni ambazo huenda zilifanyikia hapo. Mara zote meza ya chakula inatakiwa kuwa katika muonekano wa kuvutia.

Ni rahisi kuandaa meza wakati wa

Tuesday, November 15, 2016

Lotion hii ni kwa ajili yako wewe mwenye ngozi kavu

Optimals ni lotion kwa ajili ya mwili wako endapo una ngozi kavu..ooops, huenda unajiuliza utajuaje kama una ngozi kavu au ya mafuta. Ni kweli inawezekana hujui au unajua sivyo au huna uhakika. Tunapima ngozi na kujielewa kwa uhakika una ngozi ya aina gani ili kutumia vipodozi sahihi.

Optimals inasaidia kurutubisha ngozi na kuipa muonekano wa ung'avu tena. Wasiliana nami  0712 613 418 kwa oda. Tupo Moroko na unaweza kutumiwa/kuletewa popote ulipo.
 Bei ni elfu 19 tu.
Karibu sana

Namna ya kuchagua marumaru za sebuleni

Naomba ingia instagram @mtotomagazine u like picha hii. Asante sana 

Wakati tunapokuwa tunaendelea kufikiri muonekano wa nyumba zetu iwe ni mpya inayoendelea kujengwa au ni ya zamani unayofanyia marekebisho, chumba ambacho tunazingatia sana ni sebule. Kwanini? Bila shaka ni kwasababu ni chumba ambacho yoyote awe mgeni au mwenyeji ana uhuru wa kukaa anapokuwa ameingia ndani. Kwahivyo, ni

Monday, November 14, 2016

Tafadhali ka like hii picha instagram @mtotomagazine

Hello msomaji wangu popote ulipo upande wowote wa dunia, iwe upo Tanzania, Kenya, Netherlands, Iceland, US, UK, France, India, Oman, Canada na kwingineko. Nashukuru nimefanikiwa kuingia kumi bora ya picha bomba za mzazi na mtoto/watoto.

Hivyo basi nakuomba tafadhali nenda instagram kwenye account ya mtotomagazine u like picha hii ili ishinde. Like zinavyouwa nyingi ndio na ushindi unakuwa kibindoni. Asante sana nakupenda!

Saturday, November 12, 2016

Je, unajua aina ya ngozi yako?


Friends!
Aina ya ngozi inatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapo wenye ngozi ya mafuta, kavu, kavu zaidi, mchanganyiko au kawaida. Ni vyema unaponunua kipodozi cha kutumia usoni ujue kwanza aina ya ngozi yako ili uweze kupata matokeo sahihi unapotumia kipodozi kuendana na aina ya ngozi yako.

Tunapima aina za ngozi na kukushauri aina ya vipodozi sahihi kwako. Usikubali kuzeeka pasipo sababu, siku hizi inawezekana kabisa wa mika 45 na kuendelea akaonekana 
kama wa miaka 20.

Karibu Tupo Moroko Dar, tuwasiliane kwa simu 0712 61 34 18

Namna ya kusafisha kochi la kitambaa

Makochi yanakuja kwenye malighafi mbalimbali za vitambaa pamoja na ngozi ila kwa hapa tunazungumzia yale makochi ya vitambaa. Vitambaa vingi vya makochi ni vigumu kusafishika kirahsi bila kuacha alama yoyote ya uchafu. Na wataalam wa kusafisha wanachaji gharama ambayo pengine huwezi kuimudu. Asante kwa uwepo wa dawa mbalimbali ambazo unaweza kutumia kusafishia kochi mwenyewe nyumbani.

Kwanza ili uweze kusafisha kochi la

Friday, November 11, 2016

NovAge ni cream asililia ya kuondoa na kuepusha makunyanzi usoni

Package za kipodozi cha NovAge haina kemikali na iko kwa ajili ya kurutubisha ngozi yako. Kifurushi hiki kina cream ya kupaka kuzunguka machoni ili kuondoa ile rangi ya tofauti, serum kwa ajili ya kung'arisha, cream ya mchana yenye kizuizi cha kuunguzwa na jua na cream ya usiku ya kurutubisha ngozi ukiwa umelala.

Inang'arisha uso na kukupa rangi moja kwa kuondoa madoa yote. Inaondoa dalili zote za ngozi kuanza kuzeeka (makunyanzi). Imeonyesha mafanikio kwa watumiaji wengi na kamwe haichubui. 
Bei ya kifurushi chote ni 242,000. Karibu tupo Moroko au ukitaka kuletewa moja kwa moja ulipo au kuongea na mshauri wetu 
piga namba 0712 61 34 18 UELEZE HITAJI LAKO MOJA KWA MOJA

Namna ya kutunza bustani katika majira ya vuli

Hata uwe na maji mengi kiasi gani ya kumwagilia bustani, ni ukweli kuwa kiangazi kinatesa bustani nyingi. Watunza bustani wanatumia muda mwingi kuitunza kuliko majira mengine ya mwaka. Sasa majira yanabadilika tunategemea mvua za vuli na ni

Pafyum ya Signature ni nzuri

Naweza kusema kwa kujiamini kuwa hakuna pafyum inayoweza kuzidi hii ya Signature. Ina harufu nzuri, tulivu na isiyokali. Ni kwa ajili ya wanaume na wanawake. Tupo Moroko au ukihitaji kuletewa hadi ofsini kwako 
piga 0712 61 34 18

Thursday, November 10, 2016

Lipstick nzuri toka Oriflame


Hey friends!
Lipstick nzuri kutoka vipodozi asilia vya Oriflame. Bei ni 19,000.
Kwa mahitaji tuwasiliane 0712 613418. Tupo Moroko karibia na ilipokuwa AAR zamani.

Wednesday, November 9, 2016

Deodorant Nzuri ya Activelle


Jiapatie deodorant ya Activelle ambayo inakuweka fresh masaa 24. Bei ni elfu 8 na elfu 12. Kuletewa au kununua piga  0712 6134 18. Tupo Moroko Dar

Tuesday, November 8, 2016

Cream za uso wakati wa mchana na usiku

Kwako wewe mwenye ngozi ya mafuta, OPTIMALS Day Cream ndio sahihi kwako wakati wa mchana, husaidia kuzuia mionzi ya jua isikuunguze kutokana na kuwa na SPF (sun protecting factor).

Na wakati wa usiku unapaka hiyo ya night ili kurutubisha ngozi ya uso ukiwa umelala. Bei ni 38,000 kila moja.
Cream hizi zote ni za asili hazichubui bali zinang'arisha tu!
Kununua piga 0712 613 418

Pafyum za kike na kiume

Ya kwako na ya kwake. Bei 82,000.
Kununua piga 0712 613 418

Njia rahisi na haraka za kuongeza dozi ya rangi ukutani

 
Ni rahisi kujisikia uchovu pale unapofikiria ni vitu gani unavyoweza kuleta ndani ili kuongeza dozi ya rangi kwa njia rahisi, haraka na gharama nafuu. Rangi inaongeza nguvu na uzuri wa ziada wa eneo, lakini cha muhimu ni kuamini jicho lako, kujiamini kwenye maamuzi yako, na usizidishe laa iwe unajaribu uone itakuwaje! Ladha zetu kuhusu rangi zinahama, zinaongezeka na zinabadilika mara kwa mara. Rangi fulani kwenye fenicha inaweza kuonekana ni ya kuvutia, lakini je

Pafyum nzuri ya Enigma

ENIGMA ni perfume original kutoka Oriflame kwa ajili ya wanawake.

 Bei ni 82,000 na pia unaweza kupata fursa ya kujiunga na kununua kwa punguzo la bei. 

Karibu sana 0755 200023

Monday, November 7, 2016

Face Powder aka Enjoface nzuri

Matte powder hakika ni nzuri kwa uso wako na inapatikana kwa wenye ngozi nyeusi na nyeupe. Ukiitumia hakika uso unang'aa. Bei ni elfu 27,000 tu, wahi kabla hazijaisha.

Kwa mahitaji na membership tuwasiliane 0755200023

Tofauti ya kutumia stika badala ya wallpaper ukutani

Nimekuwa nikiulizwa hili swali mara kwa mara na wasomaji wangu kuwa ni kwanini mwenye kupendezesha nyumba yake aamue kutumia stika ukutani badala ya wallpaper. Na leo nitalijibu kama ifuatavyo. Stika na wallpaper zote zinapendezesha kuta na zinakidhi malengo fulani kwenye kuta za nyumbani kwako.

Hapa ni

Saturday, November 5, 2016

BODY LOTION KWA AJILI YA NGOZI KAVU

 Lotion hizi mbili za mwili ni kwa ajili ya ngozi kavu na ngozi kavu zaidi. Ya  bluu ina mafuta ya sesame  na ni kwa ajili ya ngozi kavu kawaida, wakati ya njano ina mafuta ya mbegu za boga na ni kwa ngozi kavu zaidi. Zinasaidia kulainisha ngozi, kuondoa harara na kuwa na mwili wenye ngozi ya rangi moja. Zote hizi ni asili kwa hivyo hazichubui ngozi yako. Ukiwa member unaipata kwa sh 20,800 na kama sio member unaipata kwa 27,000.
Nipigie, text au whatsapp 0755200023

Friday, November 4, 2016

Lip gloss nzuri ni hizi

Kama unahitaji LIP GLOSS ya viwango itakayolainisha midomo yako na kuifanya kivutio piga 0755 200023

Tairi chakavu zinavyopendezesha bustani

Kwa nyumba nyingi ambazo wenyeji wana magari watakubaliana na mimi kuwa matairi chakavu wakati ulipoyaondoa kwenye gari kama hukuyaacha kule gereji basi yameishia kurundikana eneo la nje ya nyumba yakikusanya vumbi, taka mbalimbali na makazi ya wadudu. Badala ya kuyaacha gereji au kuyatupa je, kwanini usiyabadilishe kuwa kitu cha kuvutia na vilevile cha manufaa?

Mpira unaotengenezea tairi hakika ni

Thursday, November 3, 2016

Unataka kuwa na uso soft?



Siri yangu ya kuwa na ngozi nyororo isiyozeeka ni hii poda ya The One Everlasting. Tuwasiliane 0755 200023

Wednesday, November 2, 2016

FOUNDATION NZURI ZIPO


Hey wapenzi,
Foundation nzuri za The One Everlasting ziko za rangi tatu tofauti ambazo ni , mahogany, nude beige na natural beige. Pia kuna The One Velvet Powder  ambayo ni nyepesi na haifanyi uso uonekane kama umejikandika na pia ina SPF (sun protecting factor) ya kuzuia mionzi ya jua.

Inakaa usoni zaidi ya masaa 8 bila kupoteza ubora wake.

Tuwasiliane 0755 200023

Pafyumu nzuri za kike

Perfume nzuri ya kike toka oriflame. Bei elfu 66

Shower gel ya uhakika kwa mazingira ya Kitanzania

Bei ni elfu 9. Piga 0755000023 nikuletee ulipo.

Namna ya kuondoa makunyanzi

Bei ya vyoute hivi ni 242,000

Ifuatayo ni namna ya kutumia:

Step 1: Cleanse Start with NovAge Refining Foaming Gel Cleanser and Renewing Toner to clean your skin of make-up, impurities and dead cells. Not only do they leave your skin clean and refreshed, but they also allow for better absorption of the following products in the routine. Step 2: Eyes Then use Ecollagen Smoothing Eye Cream to deliver powerful technologies to the delicate skin around your eyes. Step 3: Boost Next, apply Ecollagen Wrinkle Smoothing Serum, formulated to deliver the powerful technologies efficiently, to help boost the effect of your day and night creams. Step 4: Moisturise Finish off with day and night creams. For help protecting against photodamage, choose Ecollagen Wrinkle Smoothing Day Cream with SPF
  1. And to simply deliver intense hydration with a light, fresh feel use Ecollagen Wrinkle Smoothing Day Cream Light. Wrinkle Smoothing Night Cream provides resting skin cells with extra deep nourishment while you sleep. NOTE: Users of multiple products may find it takes time for the skin to adjust to an intense skin care regime. If so, we recommend introducing products gradually.

Nakuletea ulipo piga simu 0755 200023

Lipstick nzuri zenye mng'ao wa satin


Hey friends,
Bila shaka unapenda kutumia lipstick zenye ubora ambazo haziachi midomo yako ikiwa na nyufa au magamba.
Ninazo hizi lipstick kwa bei ya sh elfu 19 kila moja. Karibu kwa unayehitaji nipigie 07550200023. Zipo chache na ni za viwango vya kimataifa sio longolongo. Kama umeshawahi kutumia bidhaa za oriflame bila shaka utakubaliana na mimi.

Shindano bado linaendelea wapenzi!

Ingia www.mtotomagazine.com na kwenye comment chagua picha namba 14.

Ukikwama nipigie 0755 200023

Namna ya kuepuka harufu kwenye jokofu

Kutokea sehemu moja au mbili ndani ya jiko, hakuna sehemu inayokusanya harufu kirahisi kama jokofu. Kuepusha harufu kwenye jokofu sio ngumu kivile ikiwa unajua unachofanya, kwa kutumia njia sahihi. Endapo jokofu lako litakuwa linatoa harufu mbaya tumia njia mojawapo kati ya hizi na

Tuesday, November 1, 2016

Namna ya kuchagua mapambo ya ukutani

Inapofikia wakati wa kutoa nje ubunifu ulio ndani mwetu, wa namna ya kupendezesha nyumba zetu, basi sehemu nzuri ya kuonyesha kipaji chako ni kwenye kuta. Onyesha utambulisho wako wa sanaa kupitia kuta.

Mapambo ya kisasa ya