Pages

Wednesday, November 16, 2016

Wapenzi, makunyanzi sasa basi!

Hii ni seti murua ya vipodozi asilia vya kuondoa makunyanzi na kuacha ngozi yako iking'aa kwa wenye umri wa kuanzia miaka 35 na kuendelea, angalia hapo juu pameandika 35+. 

Ina kisafishio (cleanser), toner kwa ajili ya kuziba vitundu usoni, eye cream ya kuondoa weusi kuzunguka macho, c
day cream ya kupaka mchana na night cream ya kupaka usiku.

 Ukiwa na seti hii kiukweli sahau makunyanzi. Uzuri unagharimikiwa wapenzi, hauji tuu hivi hivi, na kumbuka unaishi mara moja tu kwahivyo usi practice bali ishi. 

Walau kama hauko kwenye hali ya kuchukua seti nzima basi kwa kuanzia wengi wanapenda kuanzia na cream ya kuzunguka macho pamoja na ya usiku. Hivi viwili vinaanza kukupa matokeo bomba kabisa.

Karibu tupo Moroko laa unaweza kuletewa au kutumiwa ulipo. 
Mawasiliano 0712 61 34 18

No comments:

Post a Comment