Pages

Thursday, January 26, 2017

Mito ya kwenye makochi ipo




Bei ya mto ni 6,000 na foronya ni 14,000

Tupo mwenge. mawasiliano 0755 200023

Wednesday, January 25, 2017

Maua ya artificial ya kupamba ndani yapo

70,000

65,000

65,000

65,000

65,000

65,000

70,000

65,000

70,000

70,000

Mawasiliano 0755,200023

Wonder Oil ya Oriflame ndio siri ya urembo

Nisingekuwa natumia nisingekushawishi. Oriflame wonder oil unapaka kwenye nywele na mwilini. Ndio siri ya kung'aa kwangu. Bei ni 23,000 na ukitaka kujiunga unanunua kwa bei pungufu ya memba.
Mawasiliano 0755 200023

Tuesday, January 24, 2017

Ofa Ofa Ofa ya Seti ya Chumbani


Bei yake seti ya bed+wardrobe+side table+ chair =3,950,000/ 

Vibakuli vya acrylic vipo

Vibakuli vidogo vya umbo la ngalawa  @6,000

@ 4,000

Bakuli kubwa umbo la ngalawa @ 10,000
Rangi zilizopo ni nyekundu, kijani, brown, purple, . material ni arylic yani plastic ngumu.
Simu 0755 200023

Monday, January 23, 2017

Dondoo za upakaji wa makabati ya jikoni rangi mbili tofauti

Hivi ulishawahi kufikiria kuwa na makabati ya jikoni yenye rangi mbili tofauti? Yani ya juu yawe na rangi yake na ya chini yawe na rangi yake tofauti.

Kutokana na uwepo wa rangi nyingi za finishing za makabati ya jikoni, baadhi ya wenye nyumba na wenye nyumba watarajiwa wanafikiria kuchanganya rangi mbili kwa ajili ya makabati ya jikoni. Mtindo huu unakuja kwa kasi kadri nilivyoongea na mseremala Andrew Komba wa kampuni ya kutengeneza fenicha ya Furniture Mart iliyopo Tabata Dar es Salaam. Anasema makabati haya yanaonekana ya kisasa na kufanya jiko lipendeze.

Iwe ni kwa muonekano au kuficha makosa yaliyojitokeza kwenye kupendezesha jiko, kuna sababu nyingi za

Friday, January 20, 2017

Saa za ukutani zipo




Size tofauti kubwa 65,000 ndogo 52,000.
Kwa oda piga 0755 2000 23

Thursday, January 19, 2017

Sabuni na Scrub ya maziwa na asali itaacha ngozi yako laini kama siagi

Je ulishajaribu sabuni na scrub ya maziwa na asal toka oriflame? Zitaacha ngozi yako laini na nyororo kama asali! Bei ya scrub ni 17,000 na bei ya sabuni ni 13,000.
Kwa oda uletewe ulipo au ufuate mwenyewe moroko piga 0755 200023. Kumbuka jipende wewe kwanza ndipo na wengine watakupenda!

Namna ya kuweka mpangilio kwa dakika 15



Kama umeshagundua ni kwamba watu wengi wanajitetea kuwa hawana mpangilio ndani ya nyumba zao kwa ajili hawana muda wa kufanya hivyo. Na pengine hata wewe unayesoma hapa sasa hivi una sababu hiyohiyo. “Ooh napenda sana kuweka mpangilio na kuondoa mrundikano wa vitu lakini muda sina”.

Ni kweli watu wana pilika na

Tuesday, January 17, 2017

Table mats na chupa zipo

35,000 kwa pc 6

45,000 kwa pc 6

Chupa moja ina ujazo wa lita moja na bei ni 27,000

Mawasiliano 755 200023

Kwa vipodozi vyovyote natural tuwasiliane

Hey friends,
Siri ya urembo ni vipodozi natural toka Oriflame. Tunazo bidhaa za nywele, ngozi na pia perfume. Kamwe hutajutia hela yako. Nimetumia kwa hivyo nina uhakika na ninachosema.

Kwa mahitaji piga 0755 200023 unaletewa hadi ulipo kwa Dar na kama ni mikoani tunatuma.

Sunday, January 15, 2017

Thursday, January 12, 2017

CHUPA ZA KUNYWEA MAJI /JUICE AU MAZIWA UJAZO WA LITA MOJA ZIPO



Ni nzuri kwa ofsini na watoto shule. Bei ni 27ooo.

Mawasiliano o755 2ooo23

Mafuta ya Asili ya Nazi kwa Nywele


Mafuta ya asili ya nywele ya nazi yanafanya nywele zako zing'ae, ziwe imara na muonekano wa afya tele. Yana vitamini E kwa ajili ya kulainisha na kuzuia zisikatike. Bei ni 23,ooo.

Mawasiliano o755 2ooo23

Seti ya Kuogea

Seti ya kuogea 35,ooo
Mawasiliano o7552ooo23

Wednesday, January 11, 2017

Sunday, January 8, 2017

UREMBO....Suluhisho la jasho hadi kwenye nguo ni Deodorant ya Activelle

Kwa wenzetu ambao kwapa linatoa jasho sana hadi kufikia kuonekana kwenye shati au blauzi, huku pengine likiacha harufu mbaya.
Deodorant na spray ya Activelle zinakufanya unukie vizuri na kukuacha fresh kwa masaa 48.

Suluhisho ni Activelle Deodorant bei sh 8,000 na Spray bei ni 12,000.

Tupo Moroko, mawasiliano simu 
0755 200023

UREMBO....Happy Skin Lotion ni Suluhisho kwa Wenye Ngozi Kavu

Lotion hii ya mwili ya Happy Skin ni kwa ajili yako wewe mwenye ngozi kavu na mwenye ngozi kavu zaidi.  Endapo ngozi yako inawahi kupauka hii lotion ni nzuri sana inakuacha ukiwa laini na unyevunyevu. 
Bei ni 27,000. Kwa mahitaji au fursa ya biashara tuwasiliane kwa 
namba 0755 200023