Pages

Wednesday, May 30, 2018

Vitu hivi vinauzwa


Viatu vya mchuchumio vinafaa kwenye shughuli na harusi au mabibi harusi bei kila kimoja ni 90,000


Sandles za ngozi bei ni 65,000

Hand drier ziko 3 kila moja ni 55,000


Pafyum mbili Zara bei 250,000


Iphone 6plus bei 870,000

Mashine ya kuoshea floor bei 320,000


Gitaa 230,000

Maelezo zaidi na mawasiliano ni text, piga au whatsapp  0755200023

Muundo wa kitanda

Good morning wapenzi,
Sio siri kuwa wengi tumekuwa tukizingatia muundo wa ubao wa kichwani mwa kitanda (headboard) kuliko ule wa miguuni.
Je, umefikia wakati sasa wa kuzingatia ubao wa miguuni pia?
Kwa mahitaji ya vitanda vya mbao, tunatengeneza tuwasiliane 0755200023

Mito ya kwenye makochi inaelekea huku


Mito ya makochi inaelekea kuwa sawa na ile ya kitandani? Au mto mmoja mkubwa kufidia vile vimito vidogodogo vingi? Hakika mambo yanabadilika!
Kwa mahitaji ya mito na foronya tuwasiliane text, whatsapp au piga 0755200023

Tuesday, May 29, 2018

Tunasafisha sofa za leather / ngozi na za vitambaa



Tuna dawa mbalimbali za kusafishia sofa za aina zote. Tunaweza kukuletea popote ulipo endapo unataka kusafisha sofa zako mwenyewe nyumbani na tutakuelekeza jinsi ya kutumia. Pia ukipenda kijana aje kuzisafishia kwako tunamtuma. Au sisi kuja kuzibeba, kuzisafisha kwetu na kukurudishia pia inawezekana.

Tupo Sinza Kamanyola
Mawasiliano 0755200023
Tunakurahisishia maisha yako.

Tuesday, May 15, 2018

Pazia mita mbili kuanzia 16,000

Chimbo la pazia nzuri kuanzia 16,000 kwa mita 2. Kwa mahitaji tuwasiliane 0755200023

Friday, May 11, 2018

Fremu za kuweka picha kwenye series


Fremu hizi unaweza kuweka picha kadhaa kwa wakati mmoja. Picha hizo zinaweza kuwa za familia yani wanafamilia tofautitofauti au za mtiririko wa tukio fulani.
Bei 65,000
Mawasiliano 0755200023

Wednesday, May 9, 2018

Stabilizer Used 10,000

Tupo Sinza Mugabe, kwa mawasiliano maswali au maelezo zaidi piga/text au whatsapp 0755200023