Pages
▼
Tuesday, October 9, 2018
Ninashona mifuko hii ya kitambaa
Ninatengeneza mifuko hii ya kitambaa kwa vitambaa imara, rangi na ukubwa unaotaka. Hii mikubwa inabeba hadi kilo 10. Bei ni 26,000.
Njoo whatsapp kuchagua design ya kitambaa unachotaka nikutengenezee.
Mawasiliano 0755200023
Thursday, October 4, 2018
Batiki na tisheti za batiki zipo
Batiki na tisheti za batiki za kila aina na kwa ukubwa unaotaka zipo. Tisheti bei 15,000
Batiki mita 2 na nusu 17,000
Mawasiliano 0755200023
Foronya za mito ya makochi na kitandani
Tuna foronya za kila aina kwa ajili ya mito ya makochi, sakafuni na kitandani. Bei ni kuanzia sh 7,000. Ukitaka tukushonee kwa vipimo vyako pia inawezekana.
Piga au whatsapp 0755200023 na tunakutumia hadi ulipo.
Friday, August 3, 2018
Wallpaper hizi zipo. Roll 45,000
Wallpaper roll moja bei ni 45,000 urefu mita 10 na upana nusu mita. Kama unahitaji na fundi yupo mnaelewana.
Tupo Sinza Mugabe
Mawasiliano 0755200023
Ukitaka kutumiwa whatsapp uchague uletewe inawezekana pia, tunapelekea popote ulipo.
Karibu.
Thursday, August 2, 2018
Tiles za sebuleni toka India
Kwa mahitaji ya tiles za sebuleni za mpangilio wa maua mbalimbali au kubwa za rangi moja piga au whatsapp 0755200023
Sinza
Dressing table zipo
Dressing table zipo kwa oda. Bei 650,000
Kwa mahitaji karibu ofsn Sinza, mikoani tunatuma. Mawasiliano 0755200023
Majiko ya gesi ya plate 2
Majiko ya gesi ya plate mbili bati nikai na kioo yapo bei 89,000. Bei ambayo huwezi kuipata pengine popote. Tupo Sinza Mugabe na ukitaka tunakuletea popote ulipo.
Mawasiliano 0755200023
Mawasiliano 0755200023
Vitanda vizuri 5 kwa 6 na sita kwa sita
Kitanda hiki kizuri unakipata kwa bei ya milioni moja na laki sita tu.
Mawasiliano 0755200023
Sinza Kamanyola
Sunday, July 22, 2018
Mrejesho wa mteja oda ya mito ya sakafuni na mito midogo
Hakika mteja wangu amefurahia kazi yake aliyonipa ya kumtengenezea mito mikubwa ya sakafuni na mito midogo ya kutupia.
Ni ukweli kuwa hadi mteja ananipa vipimo, anatuma pesa na anapokea oda yake hatujawahi kuonana uso kwa uso. Nipe oda yako ya mito ya makochi au mito ya chini sakafuni, natuma popote na nakuletea hadi ulipo.
Mawasiliano 0755200023 Sinza kamanyola
Friday, July 20, 2018
Pata saa hizi za ukutani seti ya 3 kwa bei 75,000
Saa hizi za ukutani za maua kwa seti ya pisi tatu unazipata kwa bei ya sh 75,000 tu hadi kwenye kiti chako. Mikoani natuma kwa gharama yangu. Pamba nyumbani au toa zawadi
Mawasiliano 0755200023 text piga au whatsapp.
Tupo Sinza Kamanyola
Maduveti mazito na mashuka makubwa ya cotton
Maduvet mazito pamoja na mashuka ya cotton yanapatikana.
Kwa mahitaji nakuletea hadi ulipo na mikoani natuma kwa gharama yangu. Duvet tupu nzito bei ni 140,000
Shuka kubwa moja na duvet covet (ambalo ni kama foronya la godoro) ambapo unaweza kutumia hivyo hivyo au kupachika blanketi lako ndani pamoja na foronya nne bei ni 100,000
Mawasiliano 0755200023
Faux Fur carpets zipo
Faux fur carpets zipo kwa rangi sita, kubwa ni 150,00 na ndogo ni 100,000.
Makapeti ya manyoya laini sana ya faux fur ni laini sana kiasi kwamba unaweza kuwa nalo kwa ajili ya kulishikashika tu kuburudisha mikono na pia unaweza kuyatandika popote iwe ni sakafuni, kitandani, kwenye kochi au mezani.
Mawasiliano 0755200023
Sunday, July 8, 2018
Foronya za mito ya makochi na makushen
Tuna designs zaidi ya 45 za vitambaa vya sofa, makusheni na foronya za mito ya kwenye makochi, vya mauamaua na plain.
Tupe vipimo tukutengenezee sofa, makusheni foronya na mito yenye vitambaa vya kiwango cha juu kabisa.
Zaidi njoo Whatsapp 0755200023
Sinza barabara ya Shekilango