Pages

Thursday, February 5, 2015

Kupamba sofa kwa mito ni njia ya haraka na rahisi ya kubadili muonekano

Unataka kubadili muonekano wa sebule chapchap na kwa bei nafuu? Huna haja ya kubadili sebule nzima, ongeza tu mto mmoja (au mitatu) ya mapambo kwenye sofa. Angalia mionekano mitano tofauti ya sofa ile ile baada ya kupambwa kwa mito mbalimbali
Rangi nyeupe au cream ni nzuri sana, ila unapopamba sofa kwa mito chagua mito ya rangi tofauti na sofa ile ya sofa kufanya chumba kichangamke
 Mito ikienda kwa pair inapendeza. yenye rangi solid na mikubwa ikae nyuma kama hivi
 Mwendo ni kucheza na rangi
 Unaweza kushonesha foronya za mto kwa pattern za ladha yako
Shape ya pembe nne ni common sana, ukitupia mito ya round si haba mwanamke nyumba

No comments:

Post a Comment