Pages

Friday, February 20, 2015

PICHA: Fenicha zenye maumbo ya wanyama

Fenicha hizi zaidi ya kuwa zinatumika, pia kwa maumbo yake ni pambo tosha..
 Taa hii ya kivuli ina kitako cha mbao chenye umbo la whale, unaweza kuiweka kwenye chumba chochote nyumbani. Kwa fenicha zaidi bonyeza read more..

 Nguruwe mwenye meza juu, finishing yake nyeusi na umbo lake inafanya hii coffee table kuwa na mashiko zaidi ya ya kawaida.
 Coin zako zinazozagaa waweza kuziweka hapa, na sasa kuna coin hadi ya mia tano.
Hiki kinyani cha ceramic kilichoulamba kimebeba bakuli ambalo unaweza kuweka vitu vidogodogo au hata pipi.
Hii vase ya maua yenye umbo la bata unaweza weka humo maua yako upendayo..

No comments:

Post a Comment