Pages

Friday, February 20, 2015

PICHA: Ajali ya basi la Kidia

Basi la Kidia lenye namba za usajili T 663 AXL, lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza, likiwa limepinduka katika eneo la Vikonje, nje kidogo ya manispaa ya Dodoma jana na kusababisha vifo vya watu wawili na majeruhi 45.

No comments:

Post a Comment