Thursday, April 16, 2015
Interesting! Wazazi wa hawa mapacha hawakumwambia yeyote kuwa ni ujauzito wa mapacha....vituko ni pale hospitalini mama yao alipojifungua
Wazazi wa hawa mapacha walipogundua kuwa wana ujauzito wa mapacha hawakutaka kumwambia yeyote ikawa ni siri yao. Basi ndugu na marafiki wakawa wanajua ni mtoto mmoja kwahivyo walipofika hospitalini baada ya kujifungua kila mmoja akawa anapigwa na butwaa kukuta ni watoto wawili. Baba yao akaamua kurekodi video ambayo amesema atawaonyesha wakiwa wakubwa na anaamini watafurahi. So cute!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment