Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu (kati)
akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akimtambulisha
Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa dansi nchini, Ally Choki "Mzee wa
Farasi" (kushoto) pamoja na Hassan Mussa 'Super Nyamwela ambao
wametangazwa kujiunga na bendi ya Twanga Pepeta kwa mara nyingine tena.
No comments:
Post a Comment