Thursday, April 9, 2015

PICHA: Ali Choki na Super Nyamwela Warudisha Majeshi Twanga Pepeta

Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu (kati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akimtambulisha Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa dansi nchini, Ally Choki "Mzee wa Farasi" (kushoto) pamoja na Hassan Mussa 'Super Nyamwela ambao wametangazwa kujiunga na bendi ya Twanga Pepeta kwa mara nyingine tena.

No comments:

Post a Comment