Pages

Sunday, May 3, 2015

SHEMEJI UNATUACHAJE?

Walimu wamebeba bango hili linalouliza swali kwa raisi Kikwete "shemeji unatuachaje" walimu wako so funny....unadhani kwanini walimwita shemeji?

Kutoka Mtanzania
Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitumia kuzungumzia mambo mbalimbali ya kitaifa pamoja na madai na maombi ya wafanyakazi, Rais Kikwete alizungumzia moja ya mabango yaliyokuwa yamebebwa na walimu lililosomeka ‘Shemeji unatuachaje,’ kwa kueleza kuwa maadhimisho hayo ya Mei Mosi ya mwaka huu ni ya mwisho akiwa madarakani, hivyo mambo ambayo hajayatekeleza yataendelea kufanyiwa kazi na mrithi wake.

No comments:

Post a Comment