Pages

Friday, December 4, 2015

HOME DECOR HAPA NA PALE....FIMBO YA PAZIA, CORRIDOR YA WHITEHOUSE, RANGI ZA MWAKA 2016

Hii picha ya corridor ya Obama naomba ungalie huko juu tu..yani ceiling imepamba mfano wa theluji na ni katika hekaheka za krisimasi. Watu wanajua kupamba eeh

Pantone wametangaza rasmi zangi za mwaka 2016 ambazo ni Rose Quartz (hiyo ya familia ya pink..) na Serenity (hiyo ya bluu). Kwa mara ya kwanza wataalam hawa wa rangi toka mwaka 1963 wametangaza rangi 2 za mwaka.

Kwenye hii picha hili sofa limetokea kuwa na rangi ya mwaka 2016..ila silo ninalotaka kusemea. Nataka uangalie hizo fimbo za pazia. Nimezipenda jinsi kule mwisho zilivyojikunja kushikana na ukuta ukilinganisha na nyingi za hapa bongo ambazo mwisho ziaacha uwazi kwa ajili hazijakunjwa kama hizi.

Je hapo unapoishi umeongeza nini kipya kwa maandalizi ya sikukuu? Nishirikishe Simu/Whatapp 0755 200023

No comments:

Post a Comment