Pages

Tuesday, December 8, 2015

NADHANI UNAPASWA KUWAJUA BEEZY BEE CLEANERS

Maandalizi ya sikukuu ni mengi hasa ya suala la usafi wa kina wa mahali unapoishi. Kampuni ya Beezy Bee Cleaning Services inakusafishaia kila kitu unachotaka kiwe kisafi.
Sofa lako hata liwe na madoa kiasi gani litageuka kama jipya tena

Pia wanafua na kunyoosha nguo zako

Hata oven inasafishwa na kung'aa tena

Wafanyakazi wao ni 100% kwa uaminifu wa mali zako


Je, unauza bidhaa au huduma inayohusu nyumba na bustani ambayo unataka Watanzania waijue? Nijulishe simu/whatsapp 0755200023

No comments:

Post a Comment