Pages

Wednesday, December 2, 2015

HOME DECOR HAPA NA PALE.....SANAA ZA UKUTANI, SEBULE YA BLUU NA PICHA YA MCHORO WA MTI WA KRISMASI

Pata ideas za sanaa mbalimbali unazoweza kutundika kwenye kuta za nyumba yako kwenye picha hii

Hii sebule ya bluu unaionaje?...kuanzia ceiling hadi sakafu. Ila hilo carpet linahitaji wakaaji wasafi haswaa maana doa kidogo tu ni balaa

Hii paint ya mti wa krismasi utadhania ni mti halisi..

Je, unauza bidhaa au huduma inayohusu nyumba na bustani ambayo unataka Watanzania waijue? Nijulishe simu/whatsapp 0755200023


No comments:

Post a Comment