Pages

Thursday, January 7, 2016

ANGALIA PICHA HIZI 3 ZA JINSI UNAVYOWEZA KUPAMBA KONA ZA CHUMBA

Hapa ni mwendo wa kutundika picha ukuta kwa ukuta na kuongezea vichelfu ambavyo unaweza kuweka fremu, mapambo madogodogo na hata maua.
Mti wa picha, ama kwa stika au msanii akakukatia wallpaper umbo la mti, ama akakupakia rangi. Wewe ukaongezea kutundika picha na fremu.
Hapa ni fremu kwenye kuta mbili za kona zinazotazamana huku kwa huku.

Na wewe my friend nishirikishe jinsi ulivyopamba kuta za chumba chako ili tuelimishe na wengine.

No comments:

Post a Comment