Pages

Thursday, January 7, 2016

PATA IDEAS ZA DECOR KWA AJILI YA BEDROOM YA MTOTO

Kinavutia

Wallpaper ya mazingira ya msituni, inamfanya mtoto kufungua akili na kujifunza  mambo mbalimbali kama wanyama, ndege na miti.

Watoto wanapenda rangi kali, mix ya rangi kwenye chumba hiki inapendeza.

Usisahau kunitumia chumba cha mwanao, iwe ndio unakiandaa au tayari kipo.

No comments:

Post a Comment