Pages

Tuesday, January 19, 2016

KUTOKA KWA MDAU:...Madirisha Simple ya Grill, Rangi ya Conmix

Hivi rafiki unajua kwamba wajenzi wengi tunahangaika na maua complicated ya madirisha ya grill wakati simple tu yanapendeza kabisa? Wee haya unayaonaje? 
Fundi rangi Jackson almaarufu Rasi akirembesha ukuta. Namba ya Rasi ni 0656 599 111. Ni bingwa wa wall decorations..unawajua tena japipo kwa kazi za sanaa ni nambari wani.
Ukuta huu umepakwa rangi ya conmix. Rangi hii ni ya kutoka Dubai na ni kama aina fulani ya plaster kwa ajili ya ukuta wa nje wa nyumba. Inapendeza haipendezi?

Nawe rafiki nitumie picha za maua ya grill ya dirisha zako. Ukishea ujuzi unajisikia vizuri. 
Whatsapp 0755 200023 au tuma kwa email viviobed@yahoo.co.uk

2 comments:

  1. Nimeyapenda hayo madirisha...hayana complication, nahisi na bei itakuwa poa pia...kwasababu tunaweka grill kwasababu ya ulinzi lakini wabongo wameongezea urembo hadi bei inakuwa juu. Tungekuwa na security nzuri, grill hazina deal...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante kwa kushiriki. Muda mrefu Matola umekuwa shabiki wangu mnamba moja..

      Delete