Pages

Tuesday, May 30, 2017

KARIBU UNUNUE NGUO...POPOTE NA MIKOANI TUNATUMA

Asante kwa mteja wangu huyu!
Mawasiliano 0755 200023 siku 7 za wiki masaa 24 kwa siku.

Poda nzuri ya uso ya matte / enjoface

Powder hii licha ya kwamba inadumu kwa siku nzima usoni ikiwa fresh pia inazuia ngozi kuathiriwa na jua.

Bei ni sh 55,000 nakuletea hadi ulipo wala huna haja ya kusumbuka kuja.
Mawasiliano 0755 200023

Monday, May 29, 2017

KIKOTI CHA SWAGA NA PENSELI SKETI

Kikoti cha swaga rangi nyeupe bei 27,000. Pencil sketi rangi zilizopo ni bluu, kijani, nyeusi na red bei 28,000.
Tupo msimbazi na mchikichi
ukitaka niku add kwenye group la updates la maingizo mapya nitumie namba yako.
Tunauza jumla na rejareja.
Tunaweza kukuletea ulipo na ikiwa hujaridhika na nguo unarudisha.
Mawasiliano 0755200023


MAGAUNI SIMPLE MAZURI


Gauni bei 27,000 size 36 hadi 42. Rangi zilizopo ni khaki, pink, nyeusi na mint.
Tupo msimbazi na mchikichi
ukitaka niku add kwenye group la updates la maingizo mapya nitumie namba yako.
Tunauza jumla na rejareja.
Tunaweza kukuletea ulipo na ikiwa hujaridhika na nguo unarudisha
Mawasiliano 0755200023


Pencil skirt na blauzi za shifoni zipo

Sketi 28,000 blauzi 22,000
Tupo msimbazi na mchikichi
ukitaka niku add kwenye group la updates la maingizo mapya nitumie namba yako.
Tunauza jumla na rejareja.
Tunaweza kukuletea ulipo na ikiwa hujaridhika na nguo unarudisha
Mawasiliano 0755200023

Friday, May 26, 2017

HUZUIA MAPELE BAADA YA KUNYOA NDEVU


North for men ni seti ya bidhaa kwa ajili ya wanaume. Katika seti hii kuna, shaving foam, soap bar, sabuni ya maji na  spray.

Shaving foam husaidia kwa wale wanaume wanaopata mapele baada ya kunyoa ndevu. Hutumika wakati wa kunyolea kwa kupaka kwenye ndevu kwanza kisha ndio kunyoa kunafuata. Bei yake ni 25,000

Soap bar ni sabuni ya kipande ya kuogea mwili mzima kuanzia usoni. Bei yake ni 7,000

Spray ni deodorant ya kiume ya kupaka kwapani na kuondoa harufu mbaya kwa kuyaweka makwapa fresh kwa masaa 48. Bei yake ni 16,000

Hand and body wash ni sabuni ya maji ya kuogea kuanzia kichwani mpaka mwilini. Ina povu jingi na inatakatisha mwili vizuri na kurutubisha ngozi. Bei yake ni 13,000

Kwa mahitaji tuwasiliane 0755 200023

Huondoa weusi makwapani, madoa mwilini na hung'arisha ngozi


Oriflame milk and honey set imetengenezwa na virutubisho vya maziwa na asali kwa ajili ya mwili wa mwanamke na mwanaume.
- Huondoa madoa mwilini
- Hing'arisha ngozi
- Huondoa weusi makwapani na mapajani
- Hulainisha ngozi sana
- Huondoa michirizi

Bei
- Sabuni ya maji ni 13,000
- Sabuni ya kipande ni 7,000
- Mafuta ni 27,000
- Scrub ya mwili ni 17,000
Jumla ni 64,000

Nipigie/Whatsapp 0755200023 nakuletea ulipo.

Thursday, May 25, 2017

LOVE NATURE LOTION NA CLEANSER NI KWA NGOZI ZENYE MAFUTA / OILY SKIN

Kwa yeyote mwenye ngozi yenye mafuta, kwenye hii seti anza na hizi product 2 ambazo ni cleanser/sabuni pamoja na lotion.

Jinsi ya kutumia:
Kata kipande cha pamba halafu kiloanishe maji. Baada ya hapo weka matone ya cleanser na futa/sugua uso mzima na hiyo pamba iliyoloa  maji na cleanser. Ukimaliza chukua maji safi suuza uso wote. Jikaushe na ndipo upake Love nature tee tree lotion kwa kuchovya ncha ya kidole kwenye lotion na kuiweka kwenye mashavu, kidevu na paji la uso kisha sambaza uso mzima.
Fanya hivyo kwa miezi miwili na hakika chunusi na alama nyeusi usoni zote zitaisha.

Bei ya kila moja ni 19,000 kama inavyoonyesha hapo kwenye kipeperushi.

Tuwasiliane 0755 200023 na nakuletea hadi ulipo.

Sabuni na lotion hii huondoa chunusi, mikunjo na alama usoni

Novage Ecollagen ni kwa ajili ya uso wa mwanaume na mwanamke. Husaidia kupunguza na kuondoa kabisa mikunjo, madoa na chunusi usoni. Hivi vyote hutokea bila kuchubua ngozi yako. 

Utapata seti nzima kwa bei ya 242,000.

Ila kama mfuko hauko sawa unaweza kuanza na sabuni na lotion kama bei zinavyoonyesha.

Kwa mahitaji piga 0755 200023. Nakuletea hadi ulipo.

Wednesday, May 24, 2017

Gauni nyeupe, blauzi, top, tshirt na sketi

Hili gauni lipo rangi hii ya mint, kijivu na nyeusi. Size 32,36, 40 na 48. Bei ni 27,000

Sketi ya orange bei ni 23,000

Gauni hili free size lipo kwa rangi nyeupe, bluu na nyeusi. Bei ni 28,000

Tee 23,000

Tunauza jumla na rejareja. Tupo mtaa wa mchikichi. Tunafanya delivery na usiporidhika na nguo unarudisha.

Kama utataka nikuongeze kwenye group la updates za nguo na decor nijulishe 0755 200023

Tuesday, May 23, 2017

Pencil Skirt na blauzi zipo

Sketi nzuri nzito za penseli size ya Large na XL. Zinavutika bei 28,000
Top bei 25,000
Tupo mtaa wa mchikichi
Tunafanya delivery na endapo hujaridhika unarudisha. Isipotosha au ikiwa kubwa tunakubadilishia.

Mawasiliano 0755 200023

Monday, May 22, 2017

Sunday, May 21, 2017

Haya magauni yamebaki meupe pisi chache



Haya magauni yalikuja kwenye rangi 3 ambazo ni chai ya maziwa, maroon na nyeupe. Chai ya maziwa na maroon yameisha zimebaki pisi chache nyeupe.

Mawasiliano 0755 200023. Tupo mchikichi, tunaweza kukuletea ulipo, usiporidhika unarudisha. 

Karibu.

Top na blauzi za kuvalia jeans zipo




Blauzi na top za kuvalia jeans bei ni 25,000
Tupo mchikichi
Tunaweza kukuletea hadi ulipo kama huna muda wa kufika dukani kwetu na kama hujaridhika unaturejeshea.
0755 200023

Friday, May 19, 2017

Magauni mazuri ya kutokea, koti na kizibo kirefu vipo

Gauni hili linafaa kwa mtoko wa heshima, sendoff au graduation. Bei 40,000 na tunaweza kukuletea ulipo pia.Tupo mchikichini simu 0755200023
Koti chana mikono 27,000

Kizibao kirefu, unaweza kuvaa pia kama gauni na stockings. Bei 25,000

Thursday, May 18, 2017

Muongozo wa maumbo mbalimbali ya vyandarua

Kutokana na uwepo wa vyandarua vya maumbo na uwekaji wa aina nyingi inaweza kukuchanganya kwamba ni kipi sahihi kwako.Usihamaki! Hapa nitakupa muongozo wa kile unachotakiwa kufahamu kwa baadhi ya maumbo maarufu zaidi ya vyandarua vya kisasa sokoni.

Naamini muongozo huu utakusaidia kuchagua chandarua sahihi ili usiendelee kutafunwa na mbu ukiwa bado hai! Kama unachanganyikiwa na vyandarua vya umbo la

Wednesday, May 17, 2017

Tuesday, May 16, 2017

Blauzi zenye vifungo mbele

Blauzi zenye vifungo mbele zipo size zote jumla na rejareja . Bei 22,000. Tupo mchikichi na pia tunafanya delivery 0755 200023

Faida 9 za kuweka sakafu ya mbao

Ingawaje wenye nyumba wengi pamoja na wenye nyumba watarajiwa walionekana kutofuatilia sakafu za mbao kwa sababu tu ni gharama kuliko aina nyingine za sakafu kama vile marumaru na zulia, kwa siku za karibuni kumekuwepo na mwamko wa watu hawa kuanza tena kujenga upendeleo wa kuwa na sakafu za mbao. Ni kweli kuwa pamoja na kwamba utaongeza gharama kidogo ni kuwa kuna faida nyingi za kuwa na sakafu ya mbao. Karibu tuangalie baadhi ya faida hizi kama zinavyoelezwa na fundi wa sakafu hizi bwana Andrew Komba:

1.      Sakafu ya mbao yenye ubora inadumu kwa miaka angalau 15 kabla ya kufanyiwa ukarabati. Wakati watu wengi wanajikuta wakibadilisha zulia kila baada ya miaka mitano, kutokana na madoa, matundu au

Magauni ya Ramadhani




Magauni haya yanafaa kwa mwezi wa toba. Somali style, bei 45,000
Mawasiliano 0755 200023






















Friday, May 12, 2017

Neti za kisasa za mbu zipo

Neti za kisasa kabisa za kuchimbia kwenye ceiling zipo. Bei ni 280,000
0755 200023

Vivinista akiwa ametinga gauni la lace

Asanteni "vivinistas" hii biashara mnayonipa haya magauni yameisha.

Thursday, May 11, 2017

Top za swaga


Jistiri, ficha mabega, ficha kitambi, jikinge na baridi, ongeza swaga juu ya nguo uliyovaa kwa kutupia top hizi za bawa la popo zipo dukani na online kwa mitindo hii miwili ya kola rangi nyingine ni bluu na nyeupe. Bei 27,000⁠⁠⁠⁠
Mawasiliano 0755 200023

TOPS NA BLAUZI ZIPO AINA NYINGI SANA

Hii blauzi ya mabega wazi ipo kwa rangi nyekundu, maroon, bluu ya anga na bluu iliyokolea. Bei ni 23,000. Zinapatikana kwa rejareja na jumla.

Jacketi la swaga lipo  kwa rangi nyeusi na nyeupe. Bei 28,000. Jumla na rejareja. 0755 200023

Wednesday, May 10, 2017

Gauni la bega moja wazi lipo

Yako machache sana wahi kwenye rangi hii na dark green. 0755 200023

Sunday, May 7, 2017

Optimals Lotion ni suluhisho kwa wenye ngozi zenye mafuta

 Kuna Optimals white na Optimals seeing is believing.
Optimals white inatumika na mtu wa jinsia na wa umri wowote kwa ngozi ya uso yenye mafuta ili kuondoa mafuta usoni. Seti hii ina bidhaa 4 ambazo ni Cleanser, Face toner, Face day lotion na Face night lotion.

Cleanser ni sabuni maalum ya kusafisha uso ili kuondoa uchafu wote kwenye ngozi ya uso na vishimo vyake. Bei ni 27,000

Face Toner husaidia kusafisha ngozi ya uso kwa kuipa nafasi ya kupokea lotion. Bei ni 27,000.

Face day lotion ni kwa ajili ya kupaka ngozi wakati wa mwanga wa jua iliyojaa mafuta usoni. Bei ni 38,000

Face night lotion ni kwa ajili ya kupaka ngozi wakati wa usiku. Bei ni 38,000

Optimals seeing is believing ni kwa kuondoa weusi kuzunguka macho na vilevile kundoa makunyanzi. Bei ni 29,000

Kwa mahitaji piga 0755 200023