Pages
Blog
Mawasiliano
Wednesday, October 9, 2013
'''vitu vizuri''...huu unyunyu...
huyu dada ni mteja wangu na mara kwa mara tunakutana ofsini kwangu..ila kwa leo hizi nywele zimenikosha. sikumbuki kuwahi kusuka rasta kichwani kwangu jamani. du du!!
ameniambia hizi ni rasta za kusuka vitunguu ila mbwembwe ziko kwenye kubana!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment