Friday, May 15, 2015

Lady Jaydee anataka ujue kwamba anaifunga restaurant yake MOG Bar..



jidejaydeeKabla hamjasikia hili toka kwa mtu mwingine yoyote yule. πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’ πŸ“’ πŸ“’ πŸ“’ πŸ“’ πŸ“’ πŸ“’ Napenda kuwataarifu kuwa naifunga Restaurant yangu 
MOG Bar & Restaurant , ifikapo mwisho wamweziMay2015. πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯ Nimekuwa nikiiendesha hiyo sehemu tangu mwaka 2011 
Hivyo ni miaka 4 mfululizo
Tangu kipindi inaitwa Nyumbani Lounge πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Biashara lazma ikue na mambo mengine lazma pia yaendelee. πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Kutokana na hilo 
Naiachia hiyo sehemu ili kuendeleza mambo mengine. 
mm'Something bigger than that is coming ndani ya miezi 3 ijayo 
Tutaendelea kufahamishana kwa maneno mdomo na picha kila hatua. 
Hata hivyo namshukuru mwenye eneo kwa kunipangisha 
Na kunipa ushirikiano wa hali ya juu 
Kwa kipindi chote nilichokuwa hapo 
# PeaceAmani

No comments:

Post a Comment